+255 786 200 518 info@ohide.or.tz

Joining with the Organization for Human Investment and Development (OHIDE), means joining a small group of people who are committed and devoted to participating and collaborating with others in Local, National and International in discussing, debating, designing and implementing a various development projects.

The goals that have been well-defined in this site are the leading mission to bring positive and community-based change in Tanzania to the start of Kigoma region, which is still a poor region despite having a lot of resources.

So you are welcome to join us by completing the form

download application form here


Kujiunga na asasi ya Uwekezaji katika utu na maendeleo (OHIDE) maana yake ni kujiunga na kundi la watu wachache lenye dhamira ya kushiriki na kushirikiana na wengine katika kubuni, kujadili na kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo.

Malengo ambayo yameainishwa vizuri katika tovuti hii ndiyo yanayoongoza dhamira yetu ya kuleta mabadiliko chanya na shirikishi jamii nchini Tanzania kwa kuanza na mkoa wa Kigoma ambao hadi sasa ni mkoa masikini licha ya kuwa na rasilimali nyingi.

Hivyo Basi unakaribishwa kujiunga nasi kwa kujaza fomu

pakua fomu ya maombi hapa