+255 786 200 518 info@ohide.or.tz

JISAJILI KUSHIRIKI MAFUNZO YA UONGOZI 2019 NA OHIDE TANZANIA

TANGAZO LA MAFUNZO KWA VIONGOZI WA ASASI ZA KIRAIA Asasi ya Kiraia ya OHIDE Tanzania yenye makao makuu wilayani Kasulu Mkoani Kigoma, inawatangazia viongozi wa asasi za kiraia na vikundi vya kijamii kuwa watatoa udhamini wa kushiriki mafunzo ya Uongozi,…

Read More
Tangazo La Nafasi Za Mafunzo

Tangazo la nafasi za mafunzo

Asasi ya OHIDE Tanzania yenye makao makuu katika Halmashauri ya Mji wa Kasulu mkoani Kigoma kwa kushirikiana na shirika la kimataifa la Libre Foundation la nchini Uholanzi tutatoa mafunzo ya uongozi kwa asasi za kiraia mkoani Kigoma hivi karibuni. OHIDE…

Read More