+255 786 200 518 info@ohide.or.tz
Mratibu Wa Mafunzo Mkazi Wa Libre Foundation Ndg Prosper Kwigize Akikabidhiwa Cheti Cha Kuhitimu Mafunzo Ya Uongozi Katika Hafla Iliyofanyika Katika Fukwe Za Ziwa Victoria Mjini Bukoba 2016

ORODHA YA WALIOCHAGULIWA KUSHIRIKI MAFUNZO YA UONGOZI NA MAWASILIANO KWA ASASI ZA KIRAIA TANZANIA

Mratibu Mkazi wa Libre Foundation nchni Tanzania Ndg Prosper Kwigize akivalishwa medani baada ya kumaliza mafunzo nchini Uholanzi

Asasi  ya OHIDE Tanzania inayofanya kazi za maendeleo katika mkoa wa Kigoma kwa kushirikiana na shirika la kimataifa la Uongozi na mawasiliano limeandaa mafunzo maalumu ya kimataifa ya Uongozi na mawasiliano kwa viongozi wa asasi za kiraia na vikundi vya kijamii ili kuwajengea uwezo wa kumudu utawala na uongozi wa asasi zao na kuleta tija au matokeo chanya.

Katika mchakato huo viongozi mbalimbali wametuma maombi yao kwa njia ya kujaza fomu za maombi na mchakato wa awali wa uteuzi wa washiriki umekamilika huko Amsterdam nchini Netherlands.

Ndg. Prosper Kwigize (mkufunzi) akifundisha masuala ya ufuatiliaji wa masuala ya kijamii nchini Tanzania

Kama mratibu mkazi wa mafunzo hayo nchni Tanzania, ninafurahi kutangaza kuwa wafuatao ndio waliochaguliwa katika mchujo wa kwanza. Nafasi zilizobaki ni TANO (5) na zoezi la kuchambua maombi linaendelea.

Nawapongeza wote mliochaguliwa, aidha mtatumiwa barua pepe au kupigiwa simu ili kupata maelekezo zaidi.

WAFUATAO NDIO WALIOCHAGULIWA KUSHIRIKI MAFUNZO

Name Applicant Feedback/questions Rinske Response Prosper
1. Anania Damas Accepted 16/8: Anania is very welcome to join the Libre-training.

 

He has completed his application from so that to fit for training
2. Anastazia Kavugushi Accepted 16/8: Anastazia is very welcome to join the Libre-training She managed to fulfill the requirements so I prefer to recommend her to attend
3. Aness Gerald Geofrey Accepted: Aness is welcome to join the Libre-training
4. Eliza Wagwene Accepted: Elizabeth is welcome to join the Libre-training
5. Gaudence Gwinjira 16/8 Accepted: Gaudence is welcome to join the Libre-training He has completed his application from so that to fit for training
6. Gerald Nkona Accepted: Gerald is welcome to join the Libre-training
7. Hudson Chiza Accepted: Hudson is welcome to join the Libre-training
8. Jonas Mpango 16/8 Accepted: Jonas is welcome to join the Libre-training His responses explain that their organization operates in Urban and rural areas
9. Nicholaus Zacharia Accepted: Nicholaus is welcome to join the Libre training
10. Ntahindwa Sadock Accepted: Ntahindwa is welcome to join the Libre training
11. Obadia Benguye Accepted: Obadia is welcome to join the Libre training
12. Pendo Teyagirwa Accepted: Pendo is welcome to join the Libre training
13. Rebecca Rocky Accepted: Rebecca is welcome to join the Libre training
14. Bwire Mjuberi Accepted: Bwire is welcome to join the Libre training
15. Dawia Matata Accepted: Dawia Matata is welcome to join the Libre training

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Captcha loading...